Kwenye uwanda:
Kila mara chukua glukozi ya dharura, kipima glukozi mwilini na dawa.
Usiruhusu kuganda kwa insulini.Mf.Kwenye mfuko karibu na ngozi.
Epuka maambukizi.Hakikisha unapata huduma haraka uuguapo.usisitishe insulin.
Jua zoezi hupunguza na kutofanya mazoezi huongeza matumizi ya insulini.
Maandalizi:
Kabla ya kufanya mpango wa kwenda safarini, kachunguzwe na daktari wa macho. Kama una mpasuko kwenye mshipa wa fahamu machoni, usiende juu sana.
Kabla ya kufanya mpango wa kutafuta nafasi ya kwenda safarini, pata ushauri wa daktari bingwa kuhusu mzunguko dhaifu ya damu au mpasuko wowote wa mshipa wa fahamu.
Hakikisha una hazina toshelevu ya glukozi miezi michache kabla ya kuondoka .
Uwe na kipimo bora cha sukari (na ziada) itakayofanya kazi uwanda wa juu na kwenye baridi.
Andaa utakachokuwa unakila.Panga milo yako.Uwe na insulin ya ziada kukidhi haja ya mabadili
ko ya mahitaji.Fanya majaribio ya kumudu kisukari unapofanya zoezi gumu na katika hali mbaya.
Wasiliana na ‘wapanda milima kwa kisukari hai’ (MAD).