Kwenye uwanda:
Epuka magonjwa – huweza kuathiri dawa zako.
Elewa vigezo vya kuamka kwa kifafa chako (mf. Pombe na uchovu) na uviepuke.
Dawa za kifafa huweza kuathiri usingizi na kubadili uratibu. Dalili hizi huweza kusababishwa na magonjwa ya uwanda wa juu. Ukipata tashwishi, shuka.
Kumbuka degedege katika baadhi ya maeneo huweza kuhatarisha maisha na unaweza ukasinzia baada ya degedege na kuhitaji pumziko.
Maandalizi:
Hakikisha kifafa chako hakiamki. Hakikisha umekizuia japo kwa miezi sita.
Uelewe masuala yanayohusu udereva, mkanganyiko n.k. na uhakikishe wenzako pia wanazielewa.
Hakikisha dawa za malaria haziingiliani na zako.